Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Dec 26, 2014 #1 habari ndugu wana jf simu yangu imeanza kusumbua kwenye kamera niki select sehemu ya camera simu inaleta giza kwenye screen halafu inastuck mwanzo ilikua poa kabisa Naomba msaada na Asanteni
habari ndugu wana jf simu yangu imeanza kusumbua kwenye kamera niki select sehemu ya camera simu inaleta giza kwenye screen halafu inastuck mwanzo ilikua poa kabisa Naomba msaada na Asanteni
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Dec 26, 2014 #2 fanya factory reset isipo saidia flash