mwalimu mpole1
Member
- Aug 2, 2012
- 9
- 15
wadau heshima mbele,
nimejinunulia kijisimu nokia e5, contact zangu zipo kwenye line, tatizo siwezi kuona majina, folder ya contact haifunguki kabisa. Msaada jamani