mkuu hio ni proximity sensor ambayo ni must iwepo kwenye touch screen. kazi yake inaangalia je mwili wako upo karibu na simu? je skio sasa limegusana na simu? ikihakikisha sikio limegusana na simu basi inazima mwanga na kufanya touch isfanye kazi ili kusave battery na kukuzuia wewe kugusa gusa screen wakati unaongea.
simu zisizo na proximity sensor ndo unakuta unaongea na simu shavu limegusa screen sehemu ya kukata simu inakatika