msaada nokia 3600 slide pc suite

yuppie boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
213
Reaction score
49
kwanza natanguliza salam kwa ma great thinkers.
Now twende straight kwenye point. Simu yangu nikiunganisha kwenye pc inakonect vizuri but nikiselekt pc suit haifanction tatizo ambalo before halikuwepo nimejaribu kudefault setting zote kwenye simu nikikonekt inakonect vizuri but nikichagua pc suit haifanction.nimejaribu kwenye pc nyingine result inayokuja ni ile ile. Hivyo wanajamii nahitaji misaada yenu.
 
Inaonekana hiyo pc suite uliyonayo haiendani na hiyo cmu yako,chakufanya download nokia pc suite inayoendana na type ya cmu yako.
Nenda google type free download nokia pc suite for NOKIA 3600.
 
Inaonekana hiyo pc suite uliyonayo haiendani na hiyo cmu yako,chakufanya download nokia pc suite inayoendana na type ya cmu yako.
Nenda google type free download nokia pc suite for NOKIA 3600.

ok kaka. Nitafanya hivyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…