Tatizo dogo kachukua mpaka ram, jamaa kapgwaKwanza fundi wako mwizi ram na hilo tatizo aliendani kabisa , angalia drivers za audio.
Boss fanya hivi tumia driverpack solution au driver booster kuscan missing driver, halafu utainstall utazoona unazihitaji including audio driverWakuu salaam.
Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.
Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na ujumbe inaoonyesha ni huu "No audio device installed".
Naomba kufahamu hili tatizo nalitatuaje?
Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri wenu.
View attachment 895676View attachment 895677
Ingia kwenye web ya sofnic.com download realtek for audio...kisha installWakuu salaam.
Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.
Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na ujumbe inaoonyesha ni huu "No audio device installed".
Naomba kufahamu hili tatizo nalitatuaje?
Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri wenu.
View attachment 895676View attachment 895677
Mara ya kwanza ukiwasha ilikuwa inadisplay hii message "Entering power save mode" inaishia hapo, sasa kwa hili tatizo ndio infact akatoa ram moja iliyokuwa na size ya 500mb akaweka nyingine ya 1gb, hilo tatizo likaisha. Sasa day 1 baada ya kuichukua ndio nikaona hili tatizo la sauti.Tatizo dogo kachukua mpaka ram, jamaa kapgwa
Asante sana kaka kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.Kwanza hakikusha pc yako ipo connected na internet
Download slim drive hapa SlimDrivers 2.3.1.0
Install
Kisha utaifungua na kuscan pc yako na utaweza kuona driver zote zilizo miss na utazi istall
NB: Software hii inafanya kazi online na ni free
Mkuu, nimefanya kama ulivyoshauri hii software imefanikiwa kudownload drivers kadhaa lakini driver ya audio haikuwepo.Kwanza hakikusha pc yako ipo connected na internet
Download slim drive hapa SlimDrivers 2.3.1.0
Install
Kisha utaifungua na kuscan pc yako na utaweza kuona driver zote zilizo miss na utazi istall
NB: Software hii inafanya kazi online na ni free
Una tumia kifaa gani computer au computer mpakato?Mkuu, nimefanya kama ulivyoshauri hii software imefanikiwa kudownload drivers kadhaa lakini driver ya audio haikuwepo.
Je! Kuna namna nyingine au kuna tatizo kubwa zaidi?
Thanks in advance.