Msaada: NNapata maumivu ya mwili

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,568
Reaction score
3,644
Habari zenu wakuu.

Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili.

Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata. Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo sijawahi fanya.

Chukulia mfano umepiga push up. Baada ya muda yale maumivu yanakuwaga ndio nayopapitia saaa hivi. Leo siku ya nne.

Lakini sijafanya mazoezi kama mwezi sasa.

Japokuwa kabla nilikuwa nafanya nikaacha ghafla. Kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wangu.

Sasa kwa maelezo hayo. Shida inaweza ikawa nini.?

Kama kuna mtu ako na ABC za hili anisaidie. Tafadhali. Nakosa raha.

Msaadaaa.

Pia muwe na wakati mwema..

At Calvary.
 
Kabla hatujafka mbali.....upo mkoa gani.......coz usijekuwa unauliza kumbe upo ....kigoma , sumbawanga
 
Sipo huko...
. Basi jarbu kuanza zoez mdg mdg then utarudi kwenye hali yako ........kawaida ukiacha zoez lazma hio hali itokee that's y mi huwa nikibanwa na majukumu huwa nafanya weekend
 
. Basi jarbu kuanza zoez mdg mdg then utarudi kwenye hali yako ........kawaida ukiacha zoez lazma hio hali itokee that's y mi huwa nikibanwa na majukumu huwa nafanya weekend
Okay,

Shukrani kwa mchango wako!
 
1. usiache mazoezi hata kama unaskia maumivu .. endelea kidogo kidogo mwili utajirudi
2. kula dozi ya machungwa 10 kila siku kwa siku kumi mfululizo then ulete mrejesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…