At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,568
- 3,644
Habari zenu wakuu.
Samahani wataalamu wa afya na wengine wahusika wa jukwaa hili.
Iko hivi. Karibuni hivi kuna tatizo limeanza kunipata.
Mwili unaniuma kama vile nimefanya mazoezi mazito ambayo sijawahi fanya.
Chukulia mfano umepiga push up. Baada ya muda yale maumivu yanakuwaga ndio nayopapitia saaa hivi. Leo siku ya nne.
Lakini sijafanya mazoezi kama mwezi sasa.
Japokuwa kabla nilikuwa nafanya nikaacha ghafla. Kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wangu.
Sasa kwa maelezo hayo. Shida inaweza ikawa nini.?
Kama kuna mtu ako na ABC za hili anisaidie. Tafadhali. Nakosa raha.
Msaadaaa.
Pia muwe na wakati mwema.
At Calvary.