DullyM Member Joined Mar 24, 2011 Posts 72 Reaction score 18 Sep 21, 2011 #1 Wandugu najua humu hakuna lisilo tatuliwa angalau kwa mawazo!! Hivi machine za kufyatulia matofali nitazipata kwa kiasi gani na wapi? natanguliza shukrani za dhati!!
Wandugu najua humu hakuna lisilo tatuliwa angalau kwa mawazo!! Hivi machine za kufyatulia matofali nitazipata kwa kiasi gani na wapi? natanguliza shukrani za dhati!!
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 23, 2011 #2 Hebu toa maelezo ya kutosha mkuu, Unataka mashine z kufyatua matofali ya aina gani?
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Sep 24, 2011 #3 Kama unataka mashine za kufyatulia interlocking bricks (manual) nenda SIDO au BICO chuo kikuu cha dar es salaam.
Kama unataka mashine za kufyatulia interlocking bricks (manual) nenda SIDO au BICO chuo kikuu cha dar es salaam.
DullyM Member Joined Mar 24, 2011 Posts 72 Reaction score 18 Sep 24, 2011 Thread starter #4 Shukrani nitaenda kukamatia mitaa hiyo.