Picha nzuri ya kuchora yenye kuakisi mradi wenu, chupa ya mvinyo iliyo pambwa vizuri, snack isiyo haribika kirahisi (ie korosho), kabahasha kakaki kenye pesa kidogo tuh kutegemea na na ukubwa wa mradi na impact ya hao consultants, zawadi zinakuwa in bundles. All the best mkuu