Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

Sali na kumuomba mungu kwa imani atakuponya na kukuepusha na baya lolote
 
Sara ni matamshi yenye nguvu sana. Kama vile wachawi wanavyotumia maneno kwa kunuizia uchawi wao ili ufanye kazi, wewe nawe tamka kwa maneno ya kuvunja nguvu za giza huku ukiyaunganisha na nguvu ya Damu ya Yesu Kristo na Moto wa Roho Mtakatifu, mapepo, majini na uchawi utakosa nguvu na kusambaratika vibaya.

Usijidanganye kutumia uchawi kwani huo ni ufalme mmoja haufitiniani. YESU NI JIBU la matatizo yako, mtafute utamuona, muite naye atakuitikia, muombe atakupa na kukutimizia haja zako.
 
 

U a ryt!
Biblia inasema ' mkaribieni Mungu ndipo mmpinge shetani nae atawakimbia'

Lzm aokoke ili aweze kujipigania akiwa na mamlaka kamili.
 


Mkuu kwanza kabisa kabidhi tatizo lako kwa Yesu Kristo na ujipe imani kuu kuwa Yeye atayatatua bila wasiwasi.
Pili kitu cha msingi USIOGOPE KITU.

Wachawi wana tegemea sana kufanikiwa kama wakikutia hofu, hofu ondoa.
Tatu, unaujua mkwara lakini?
Aisee weka mkwara wa hali ya juu namwambie huyo mama ama zake ama zako, wewe ndo mtie hofu, ikiwezekana mtishie maisha kabisaaaa!
Mpe masaa kuondoka kwenye shamba na mwambie asikanyage pale ama sivyo miguu yake utaifyeka!


Bila kufanya hivyo atakuchezea bila sababu.
 

Uhusiano wa mwombaji na Yesu ukoje, ndilo jambo la msingi kwanza. Then maombi!
 
Mkuu Ukitaka Kumshusha Mchawi Kwa Maombi Inabidi Ujitoe Kweli
ukilegeza Ujue Umebeba Wachawi Wa Mtaa Mzima
Cha Muhimu Mchukue Mjomba Na Ukamtibie Kimaombi
We Jilinde Ila Husihitaji Kisasi Na Mchawi Kama Imani Yako Siyo Imara
 
Jina la YESU ni nome, ni njia, ni uzima, "njooni kwangu wote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Nenda mkuu nenda, litakavyoisha uatashangaa mwenyewe.
 
Ndugu yangu acha fikra potofu fuata taratibu za kisheria ,anzia kwa mjumbe kisha serikali ya mtaa ikishindikana peleka kesa mahakamani, ila hakikisha una makaratasi yanayothibitisha umiliki halali wa hilo shamba
 
Acha kuziba masikio na macho...UCHAWI UPO ...NIMEONA KWA ANKO ALICHOFANYIWA na mchawi


Unajuaje kama ni uchawi na uchawi tu na wala si kitu kingine?

Better yet, uchawi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…