aiseemwenge university
Hapo angalia moyo wako unapenda nini kati ya hizo.Udsm sijapata.nimeomba nimepata hvyo
Soma unachopenda zaidi.Moyo hausemi chochote bado
Hizi MbiliEnvironment disaster management (UDOM)
agribusiness management and technology (MUST)
Mtaalamu wa mifumo ya computer ,hio inadeal sana na software,dunia ya sasa ni ya teknolojia na matumizi ya computer ni makubwa na hayaepukiki ,computer science naona ipo marketable unlike hizo course zingine aforementionedShukran sana ,,,, computer science unakuwa na Carrier gan ,,,
Thanks so much bro ......hope nitazingatia hiloMtaalamu wa mifumo ya computer ,hio inadeal sana na software,dunia ya sasa ni ya teknolojia na matumizi ya computer ni makubwa na hayaepukiki ,computer science naona ipo marketable unlike hizo course zingine aforementioned
KaribuThanks so much bro ......hope nitazingatia hilo