Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 672
Habari ndugu wa JF, nataka nijue utofauti kati ya FAX na SMS.
FAX ina nini cha ziada kuliko SMS manake naona kwenye address za Kampuni nyingi wanapenda kutumia hiyo
Pia, nahitaji kujua inatumia channels gani kutuma meseji kutoka kwa mtumaji hadi mpokeaji?
Dah hapo umenifumbua kitu braza, ila hii ya kutumia telephone ndo shida kwahiyo kama siku hiz hakuna telephone systems zinazocross regions si ininakuwa shida kufanya faxing mkoa kwa mkoa au imekaaje hapo?Originally Fax ni kama kuscan na kutuma scanned file, na inapofika kwa mpokeaji inajiprint.
..........
Unachukua Karatasi yenye ujumbe/picha , unaiweka kwenye fax mashine yako inaiscan, na kuituma kwenye anuani ya mpokeaji na inapofika kule inapokelewa na fax machine na kuprint automatically.
Fax inatumia telephone line kama njia ya mawasialiano.
Ofisi nyingi za serikali/taasisi za kifedha na stationeries zinafax machine na zinatumika kwa kutuma documents instead of scanning services.Ila technology hiyo inaelekea kupotea kwa sababu ya scanners.Dah hapo umenifumbua kitu braza, ila hii ya kutumia telephone ndo shida kwahiyo kama siku hiz hakuna telephone systems zinazocross regions si ininakuwa shida kufanya faxing mkoa kwa mkoa au imekaaje hapo?
Hii technology haina uhai tena sababu ya email, hivyo inazidi kupotea.Dah hapo umenifumbua kitu braza, ila hii ya kutumia telephone ndo shida kwahiyo kama siku hiz hakuna telephone systems zinazocross regions si ininakuwa shida kufanya faxing mkoa kwa mkoa au imekaaje hapo?
Okay, kwahiyo email ndio imekuja kuwa mbadala wa hii kitu.Hii technology haina uhai tena sababu ya email, hivyo inazidi kupotea.
Hapo nimekusoma brazaTofauti kubwa ya fax na sms ni:
1. Fax ni sawa scaned document ambayo inafanyiwa print upande wa pili ili kupatikana kwa nakala yake. Kwa wakaida sms haiwezi kufanyiwa print.
Mfano mzuri mimi niko Dar na nakala ya cheti fulani kinatakiwa labda tuseme Arusha, ukituma kwa njia ya Fax ni kuwa huku upande wa mtumaji atakiscan cheti kwenye fax machine ili kutuma na upande wa pili kwa mpokeaji (Arusha) watapokea nakala ya hicho cheti kupitia fax machine iliyopo kule.
I got you, I get it! Thanks!Muuliza swali na mimi nikuulize,, kuna tofauti gani kati ya Barua na SMS.
Au kati Hard copy na
Soft copy.
Yeah for sure