Msaada: Nini sababu ya kuwa mkali ghafla?

Niliwah kuwa na hali kama yako ila mimi ckuwa na hasira bali mapigo ya moyo kwenda mbio na kuhic hali nisiyoielewa,

Nilikata shauri na kwenda Muhimbili nilifanikiwa kuonana na mtaalamu wa psychology mpaka sasa niko fresh kabisaaa baada ya dose ya kama mwezi hivi.
 
asante mkuu!!!! Ila hiz hasira hunifanya nifanye mambo ya NDIVOSIVO,,, ngoja nitawatafuta wataalam kama usemavo.
 
asante mkuu!!!! Ila hiz hasira hunifanya nifanye mambo ya NDIVOSIVO,,, ngoja nitawatafuta wataalam kama usemavo.
Yahh tafuta mtaalamu ukae nae, muhimu kuwa tayari kumueleza kila anachotaka kusikia esp ur life history na jinc gani unaishi, itakuwa ni njia nzuri ya yeye kujua anaanzia wapi kukusaidia.
 
amein!!!! thanks kwa faraja MUNGU akubariki!!!
pole dada kama upo Dar nenda mbezi kwa msuguri pale bochi hospital Kuna docta masawe mtaalam wa saikolojia mm alinisaidia sana maana nilipitia kipindi cha miez 3ilikua nusu kujinyonga nilipewa tiba nae dozi ya mwezi nikawa fresh mawazo acha kabisa usiombe upitie kipindi hicho na pepo huingia apo na kutaka kukuangamizs
 
Ukipata mwenza mkapendana, you will forget all these..!!
mwenza gani ataekuelewa au kukuvumilia hasira zangu za ajabu? mfano,,, ajisahau aanze na story za kazin kuwa serikarin ukiajiriwa raha sana uwezo wa kusomeshwa upo 100%,,, hapo tayar naanza kukumbuka tulivokuw na plan future na wenzangu ambao wao wapo serikalin, ghafla najikuta nakuza mada na namjibu isivo takiwa.
 
As a Philosopher and Pyschologist Nasema haya

Tafuta Msela Mpimane akukaze sawa sawa Usiku kucha.
Fanya mazoezi
Check Movie
Fanya maombi sana
Penda kujishusha no matter umekosewa
Take Time tembea jiliwaze kokote kule
Rizika ila saka pesa sana ukifanikiwa kuipata Utakua mpole kama Jongoo vile .

N.B Zingatia la kwanza na la mwisho pia SAUT kuna mwalimu wa saikolojia mtafte.
ndugu inakaa hujui ugonjwa wa stress yaan ukiwa na stress hata dushe haisimamii kabisa mm nilipata stress miez mitatu na wife nalala nae nilikua hata kunigusa sitaki huwez taman kula wala kuwatch move mm ata Facebook au jamii forum nilikua sitaki hakuna ugonjwa mbaya kama stress ndugu acha miez mitatu nilikua na teseka usingizi sipati pia
 
pole dada kama upo Dar nenda mbezi kwa msuguri pale bochi hospital Kuna docta masawe mtaalam wa saikolojia mm alinisaidia sana maana nilipitia kipindi cha miez 3ilikua nusu kujinyonga nilipewa tiba nae dozi ya mwezi nikawa fresh mawazo acha kabisa usiombe upitie kipindi hicho na pepo huingia apo na kutaka kukuangamizs
Asante Mkuu!! ila saivi nipo Mombasa nitatafutia hukuhuku... labda tu nikija huko nako ndo ntawatafuta,,, je mbezi ya wapi uisemayo?
 
Asante Mkuu!! ila saivi nipo Mombasa nitatafutia hukuhuku... labda tu nikija huko nako ndo ntawatafuta,,, je mbezi ya wapi uisemayo?
mbez ya kimara pale yule docta anakufanya unarudi Hali yako ya kawaida kabisa
 
Leo nimeamini, kuna maana kubwa sana kwenye DP za watu..
Nikimtizama huyo mtoto na kusoma thread yako, I can feel how much you're going through..
 
No. She just needs to wake up and kick as$ huku akihesabu baraka zake.
Once she realizes that she ain't no princess and the whole world does not rotate under her feet she will do just fine. Yaani wenzie hawana ajira mwaka wa 4 huu afu yeye anapata stress kuwa 'dream job' ya serikali ni hajaipata?
Kamuone daktari wa saikolojia.
 
ndugu inakaa hujui ugonjwa wa stress yaan ukiwa na stress hata dushe haisimamii kabisa mm nilipata stress miez mitatu na wife nalala nae nilikua hata kunigusa sitaki huwez taman kula wala kuwatch move mm ata Facebook au jamii forum nilikua sitaki hakuna ugonjwa mbaya kama stress ndugu acha miez mitatu nilikua na teseka usingizi sipati pia
Mkuu stress inategemea imesababishwa na nn kwanza.
Kama ulikua umekopa Mihela afu umeweka Dhamana kitu chako cha Thamani kabisa unafiri kukaza tu kutaleta msawazo kimawazo mpaka ulipe ndo utarudia hali yako ya kawaida.
Deal with the cause of your stress ndo itaondoka sio tu kukomaa kumtafta mwanasaikolojia.
 
Back
Top Bottom