Msaada: Nini sababu ya kuwa mkali ghafla?

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,180
Habari za hapa,

Hii hali siielewi itaisha lini, huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mambo yaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;

1] Kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo, mpaka leo hii nasota taasisI binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.

2] Kusalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mama baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili nipotee duniani, naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha mwingine sasa ya nini nibaki? Sasa baada ya kufeli kujitoa duniani, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivyo.

Pombe situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie, juzi tu hapa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya hivyo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yani mawazo yakarudi upya.

Sasa nisaidieni.
 
Habari za hapa!!
hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mambo
yaliyoniathiri ubongo hadi leo
mambo hayo ni; 1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia. 2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo, POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,. sasa nisaidieni.
Kamuone daktari wa saikolojia.
 
Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
 
Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
Mmmmm!!!!!!! asante mpendwa katika Bwana!!!!!! ila mimi sijasign mikataba ya aina yoyote!!!! au kuna namna wanavosign?
 
ni hali inayowakuta watu wengi, over 60% ya binadamu wote, kwa hiyo usiwe na wasiwasi hauko peke yako..wangine wana makubwa zaidi ila wanavaa uso wa furaha na tabasamu ili kuyaficha magumu yao!
Are you worth to die young and simple like that?
If you can allow yourself to think more about your situation, trust me! there is always a way out to complete happiness!
pls think about your family, your destined most beautiful and exciting future,
there is always a way, do not allow your mind to put a limit
anger represents end,accepting failure,etc
have you accepted failure, you can move on, just make up your mind

ningepata muda wa kuongea na wewe ningekuelewesha vizuri, hata mm nimepitia
 
Habari za hapa!!

hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;

1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.

2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,

POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.

Sasa nisaidieni.
Huo ni ukame tu au ugwadu unakusumbua,tafuta pozo la roho aje akupe ile kitu roho yako inataka.
 
Mbona sababu unazijua
Ila hajaamua kuzifanyia kazi.
 
ni hali inayowakuta watu wengi, over 60% ya binadamu wote, kwa hiyo usiwe na wasiwasi hauko peke yako..wangine wana makubwa zaidi ila wanavaa uso wa furaha na tabasamu ili kuyaficha magumu yao!
Are you worth to die young and simple like that?
If you can allow yourself to think more about your situation, trust me! there is always a way out to complete happiness!
pls think about your family, your destined most beautiful and exciting future,
there is always a way, do not allow your mind to put a limit
anger represents end,accepting failure,etc
have you accepted failure, you can move on, just make up your mind

ningepata muda wa kuongea na wewe ningekuelewesha vizuri, hata mm nimepitia
amein!!!! thanks kwa faraja MUNGU akubariki!!!
 
Pole, kukataliwa sio mwisho wa maisha accept it and move on kubali ndani ya moyo wako kua ts over focus na hapo ulipo huku ukiendelea na mipango mengine my dear riziki mafungu saba leo umekosa hapa kesho utapata pale have faith pray hard mambo yatanyooka pendelea sana kujichanganya na watu tafta psychologist atakusaidia
 
Huenda ukawa na hormonal imbalance.

Hivyo, nenda kamtafute shrink na kama ni mzuri atakushauri pia uende ukafanyiwe physical.

Zaidi ya hapo unahitaji mtu [unayemwamini] wa kuongea naye na kukusikiliza [pasipo kukukosoa sana].

Wakati mwingine kuyaongea mambo yako na mtu kunasaidia kupunguza makali ya hisia ulizonazo.

Ujaaliwe heri tele.
 
Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
Elimu!
Elimu!
Elimu!
 
Una kazi sekta binafsi ila still unalalamika, sikuombei mabaya ila omba Mungu usikose kazi kabisa, utameza tena vidonge aisee but ndo utajua thamani ya kile ulichokuwa hukioni kama kina umuhimu kwako

Inaumiza kuachwa, ila hadi kutaka kujiua jamani (nisiseme sana yasije yakanikuta, God forbid), but naamini unaweza kuishi bila huyo mchumba alokusaliti. Nahisi pia hujamsahau Huyo mwanaume coz usingegeuka mbogo mtu akikuuliza masuala ya mahusiano. He is your past now, mbona unamfanya wa muhimu kiasi hicho hadi akuharibie current life an future yako? Ukinuna ukakaa unalia ndo mtarudiana tena na atakuwa hajamzalisha mtu mwingine? Leo hii Mungu akisema akuchukue, unakipi cha kushukuru juu ya maisha aliyokupa? Muone mwanasaikolojia, sali sana Mungu akuepushe na hiyo roho ya mauti, na amini wanaume wazuri hawajaisha, Mungu atakupa wa kwako kwa wakati wake. Enjoy maisha yako no matter what
 
Huenda ukawa na hormonal imbalance.

Hivyo, nenda kamtafute shrink na kama ni mzuri atakushauri pia uende ukafanyiwe physical.

Zaidi ya hapo unahitaji mtu [unayemwamini] wa kuongea naye na kukusikiliza [pasipo kukukosoa sana].

Wakati mwingine kuyaongea mambo yako na mtu kunasaidia kupunguza makali ya hisia ulizonazo.

Ujaaliwe heri tele.

Nasapoti suala la kutafuta mtu amuaminiye aongee nae,

Pia dada yangu mapenzi yana part kubwa hapo, tafuta mpenzi, hizo hasira utakuta una chuki na wanaume balaa. Acha! fall in love, cry and laugh again.

Bila shaka utakua mmoja kati ya watu "introverted personality" na kujikuta unabugia mambo tu bila kuyatoa na kujaribu ku solve mwenyewe. Socialize, have fun na maisha utayaona katika mwanga mpya. Ukiweza kaa na watu wapya kabisa na mki "click" huwa wanakubadili jinsi unvyoangalia mambo,

Kama ni mtu mwenye haiba hiyo nliyosema basi uwe hata na diary au chochote uwe unarekodi daily events na mtazamo wako itakusaidia sana.
 
Huenda ukawa na hormonal imbalance.

Hivyo, nenda kamtafute shrink na kama ni mzuri atakushauri pia uende ukafanyiwe physical.

Zaidi ya hapo unahitaji mtu [unayemwamini] wa kuongea naye na kukusikiliza [pasipo kukukosoa sana].

Wakati mwingine kuyaongea mambo yako na mtu kunasaidia kupunguza makali ya hisia ulizonazo.

Ujaaliwe heri tele.
ASante mkuu!!! shrink ndo waaina gan? kunifanyia physical inakuwaje hapo?
 
Hiyo hali ata mm inanisumbua nna siku ya pili nashinda tu ndani sitaki ongea na mtu yoyote
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom