CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 May 6, 2022 #1 Kama kuna mtu ameomba kazi ya ukarani wa sensa, hapa kwenye password naandika nini?
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 May 6, 2022 #2 Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password, Labda Kuna sehemu umeenda sipo
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 May 6, 2022 Thread starter #3 Allan Clement said: Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password, Labda Kuna sehemu umeenda sipo Click to expand... Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu?
Allan Clement said: Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password, Labda Kuna sehemu umeenda sipo Click to expand... Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu?
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 May 6, 2022 #4 CEYLON said: Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu? Click to expand... Nenda kwenye email Yako ambayo umejisajili watakuwa wamekutumia password
CEYLON said: Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu? Click to expand... Nenda kwenye email Yako ambayo umejisajili watakuwa wamekutumia password
meck pro JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,932 May 6, 2022 #5 CEYLON said: Kama kuna mtu ameomba kazi ya ukarani wa sensa,hapa kwenye password naandika nini? View attachment 2214256 Click to expand... Password wanakutumia kwenye email mkuu
CEYLON said: Kama kuna mtu ameomba kazi ya ukarani wa sensa,hapa kwenye password naandika nini? View attachment 2214256 Click to expand... Password wanakutumia kwenye email mkuu
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,830 Reaction score 8,246 May 6, 2022 #6 CEYLON said: Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu? Click to expand... Jitahidi kutokuwa na haraka, soma kila ujumbe unaokujia kabla ya kufunga window tab.
CEYLON said: Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu? Click to expand... Jitahidi kutokuwa na haraka, soma kila ujumbe unaokujia kabla ya kufunga window tab.
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,364 Reaction score 3,199 May 6, 2022 #7 Hapo weka namba ya simu ,uliyoiandika wakati wa kujaza maombi.
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 May 7, 2022 Thread starter #8 1gb said: Hapo weka namba ya simu ,uliyoiandika wakati wa kujaza maombi. Click to expand... ππ»ππ»
1gb said: Hapo weka namba ya simu ,uliyoiandika wakati wa kujaza maombi. Click to expand... ππ»ππ»
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,341 Reaction score 184,998 May 7, 2022 #9 Mleta mada natumae umepata muongozo...
B Barafu wa moyo Member Joined Sep 30, 2021 Posts 14 Reaction score 16 May 9, 2022 #10 Allan Clement said: Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password, Labda Kuna sehemu umeenda sipo Click to expand... Mkuu mm nimejaribu kuomba lakin majibu ninayopata ni kwamba namba yangu ya mtihani kidato cha nne imeshatuma maombi. Allan Clement said: Nenda kwenye email Yako ambayo umejisajili watakuwa wamekutumia password Click to expand...
Allan Clement said: Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password, Labda Kuna sehemu umeenda sipo Click to expand... Mkuu mm nimejaribu kuomba lakin majibu ninayopata ni kwamba namba yangu ya mtihani kidato cha nne imeshatuma maombi. Allan Clement said: Nenda kwenye email Yako ambayo umejisajili watakuwa wamekutumia password Click to expand...
Chief_mataka Member Joined Jan 27, 2022 Posts 98 Reaction score 97 May 10, 2022 #11 Barafu wa moyo said: Mkuu mm nimejaribu kuomba lakin majibu ninayopata ni kwamba namba yangu ya mtihani kidato cha nne imeshatuma maombi. Click to expand... Andika Namna Hii Mf S1340_0092_2007 Na Sio Hivi S1340-0092-2007 ,TUMIA _ na sio -
Barafu wa moyo said: Mkuu mm nimejaribu kuomba lakin majibu ninayopata ni kwamba namba yangu ya mtihani kidato cha nne imeshatuma maombi. Click to expand... Andika Namna Hii Mf S1340_0092_2007 Na Sio Hivi S1340-0092-2007 ,TUMIA _ na sio -
B Barafu wa moyo Member Joined Sep 30, 2021 Posts 14 Reaction score 16 May 10, 2022 #12 Chief_mataka said: Andika Namna Hii Mf S1340_0092_2007 Na Sio Hivi S1340-0092-2007 ,TUMIA _ na sio - Click to expand... Mkuu nashkuru sana nimefanikiwa.
Chief_mataka said: Andika Namna Hii Mf S1340_0092_2007 Na Sio Hivi S1340-0092-2007 ,TUMIA _ na sio - Click to expand... Mkuu nashkuru sana nimefanikiwa.
Chief_mataka Member Joined Jan 27, 2022 Posts 98 Reaction score 97 May 10, 2022 #13 Barafu wa moyo said: Mkuu nashkuru sana nimefanikiwa. Click to expand...