Cathelin JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,071 Reaction score 3,998 Mar 31, 2020 #1 Wakuu pole na shughuli, Nasumbuliwa sana na nta kwenye sikio, nta ujirundika ndani na sikio huanza kuniuma. Nilikuwa naenda Kairuki hospital nasafishwa nakuwa vizuri tu. Sasa hivi nipo Arusha sijui ni hospitali gani nitapata huduma ya kusafisha sikio, na gharama zake ni zipi maana bima yangu imeisha muda sasa. Msaada tafadhali! Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu pole na shughuli, Nasumbuliwa sana na nta kwenye sikio, nta ujirundika ndani na sikio huanza kuniuma. Nilikuwa naenda Kairuki hospital nasafishwa nakuwa vizuri tu. Sasa hivi nipo Arusha sijui ni hospitali gani nitapata huduma ya kusafisha sikio, na gharama zake ni zipi maana bima yangu imeisha muda sasa. Msaada tafadhali! Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Mar 31, 2020 #2 Ninakushauri utafute hospital inayofanya ear irrigation
Cathelin JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,071 Reaction score 3,998 Mar 31, 2020 Thread starter #3 Sky Eclat said: Ninakushauri utafute hospital inayofanya ear irrigation Click to expand... Sawa dada Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat said: Ninakushauri utafute hospital inayofanya ear irrigation Click to expand... Sawa dada Sent using Jamii Forums mobile app
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,830 Sep 20, 2021 #4 Good Morning Tz said: Naomba unijuze gharama za kusafisha sikio nahisi na mimi langu lina uchafu ndani nipo Arusha kwa sasa Click to expand... Nenda hospitali yoyote ya mkoa hutoa huduma ya kutoa nta/ kusafisha sikio. Tafadhali USIENDE bi zahanati. Kumbuka; PUA SIKIO JICHO NA KOO NI VIUNGO VINAVYO HITAJI UANGALIFU MKUBWA KTK MATIBABU
Good Morning Tz said: Naomba unijuze gharama za kusafisha sikio nahisi na mimi langu lina uchafu ndani nipo Arusha kwa sasa Click to expand... Nenda hospitali yoyote ya mkoa hutoa huduma ya kutoa nta/ kusafisha sikio. Tafadhali USIENDE bi zahanati. Kumbuka; PUA SIKIO JICHO NA KOO NI VIUNGO VINAVYO HITAJI UANGALIFU MKUBWA KTK MATIBABU