Msaada: Ninashindwa kuweka window 10 kwenye Computer

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,811
Reaction score
2,152
Habarini wakuu!

Nahitaji msaada wa kubadilisha window 7 kwenda window 10, nimejaribu kutumia cd imekataa na hata flash hata baada ya kuifanyia bootable.

Ujumbe ninaoupata ni kama picha inavyojionyesha hapa chini;



Sent from my KNT-UL10 using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa
 
Hio usb ina windows? Umeweka vizuri windows yako kwenye usb? Maana jina kama halieleweki hapo.

Umetumia tool gani kuweka windows kwenye flash?
 
Sijajua umetumia tool gani kuandaa hiyo bootable drive, pia jaribu kutumia poweriso kuandaa bootable USB, vilevile unaweza kudownload untouched .iso from Microsoft, halafu ndiyo uandae bootable USB drive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…