Nimeingia gugo na kupata maelezo lakin katika hayo maelezo kuna kipengele kwenye hii simu yangu hakionekani, nimefeli hapohapo,,Factory reset hapo haikusaidii,,hiyo ni frp
Nenda google search how to remove frp on tecno pop 2
Ungekua upo smart basi ni kesi ya dk 0 kwa crack ya miracle
Daah ishakuwa mtihani kwangu, nimejaribu mara zooote bado hakuna mabadilikokidi kudi mara nyingi simu hizi kuanzia android ya 7 ukirestore kwa kutumia button ikifika hapo no command inakua inasumbua ila jarbu kudeal na hizo button za kuongeza na kupunguza kama nilvokwambia hapo juu bonyeza zote kwa pamoja yaan ile paap sio uzi hold bonyeza achia itakubali tuu mkuu
Hebu sema hiko kipengele gan usichokiona kwakoNimeingia gugo na kupata maelezo lakin katika hayo maelezo kuna kipengele kwenye hii simu yangu hakionekani, nimefeli hapohapo,,
Naomba nirlekeze kwa njia hiyo ya miracle kama itakupendeza
Miracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.Factory reset hapo haikusaidii,,hiyo ni frp
Nenda google search how to remove frp on tecno pop 2
Ungekua upo smart basi ni kesi ya dk 0 kwa crack ya miracle
Ngoja niifanyie kaziMiracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.
Mleta uzi ikifikia hapo kwenye No Command, bonyeza button ya Volume + kisha Poower halafu button ya Volume - halafu bonyeza kwa pamoja button ya power na volume up (bonyeza siyo ushikilie)
Ikikukataa rudia kinyume chake, halafu bonyeza button ya power volume up. Ikikataa bonyeza button ya power na volume down.
Ikikubali kwa version ya Pop 2 nafikiri chini kabisa utaona "More" ingia kwenye "More" na wipe data kwa huko.
Ikimaliza itakudai FRP.
Ambayo utaitoa ndani ya dk 10 kuna uzi nilianzisha wa kutoa FRP. Utafute
Aisee hii njia yako imekubali shukraniMiracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.
Mleta uzi ikifikia hapo kwenye No Command, bonyeza button ya Volume + kisha Poower halafu button ya Volume - halafu bonyeza kwa pamoja button ya power na volume up (bonyeza siyo ushikilie)
Ikikukataa rudia kinyume chake, halafu bonyeza button ya power volume up. Ikikataa bonyeza button ya power na volume down.
Ikikubali kwa version ya Pop 2 nafikiri chini kabisa utaona "More" ingia kwenye "More" na wipe data kwa huko.
Ikimaliza itakudai FRP.
Ambayo utaitoa ndani ya dk 10 kuna uzi nilianzisha wa kutoa FRP. Utafute
Haina noma mzeeAisee hii njia yako imekubali shukrani
Aisee nimerudi tena nilikuwa bize na majukumu mengine.Hapo ilipoleta no command bonyeza button zote mbili volume up na volume down kwa pamoja itakuletea hyo recovery menu.
Note:kama email huijui,hyo simu baada ya ku restore itawaka na FRP lock
Nimekwama jamaangu. Inanipa ujumbe huu 'Your phone was reset to factory settings.To use this phone, enter your previous password. ' hapo nimekwamaMiracle haiwezi kufanya kazi kwenye tecno pop 2.
Mleta uzi ikifikia hapo kwenye No Command, bonyeza button ya Volume + kisha Poower halafu button ya Volume - halafu bonyeza kwa pamoja button ya power na volume up (bonyeza siyo ushikilie)
Ikikukataa rudia kinyume chake, halafu bonyeza button ya power volume up. Ikikataa bonyeza button ya power na volume down.
Ikikubali kwa version ya Pop 2 nafikiri chini kabisa utaona "More" ingia kwenye "More" na wipe data kwa huko.
Ikimaliza itakudai FRP.
Ambayo utaitoa ndani ya dk 10 kuna uzi nilianzisha wa kutoa FRP. Utafute
Ikikupa hiyo option lazima chini paandikwe use my google account instead.Nimekwama jamaangu. Inanipa ujumbe huu 'Your phone was reset to factory settings.To use this phone, enter your previous password. ' hapo nimekwama