Msaada nina vidonda sugu

Changamotto

Senior Member
Jan 12, 2018
191
100
Ni miaka kadhaa sasa vipele vimekuwa vikiniandamana mno,kikitumbuka tu kinatokea kidonda ambacho hata kikipona ni kama kinahamia sehemu nyingine,kama kilikuwa kichwani kikipona tu kipele kingine kitajitokeza sehemu nyingine na kutengeneza kidonda,nikienda hospital naambiwa nina aleji Ila siambiwi ni aleji ya kitu gani,msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom