WEKA UGORO KWENYE DOMO HILO UTAONGEA MWENYEWE
Una * ya uaminifu na ucha Mungu. Subiri ukiwa mkubwa uoe.
Haya mambo mengine tuachie sisi tusiocheka na lango kwenye eneo hatari.
Komenti za hivi ndio huwa zinanifanya nipigwe Ban!Tafuta super glue kisha upake mdomoni mkuu . itaponya hilo tatizo lako
Komenti za hivi ndio huwa zinanifanya nipigwe Ban!
Mods hii ni haki kweli..?
Nikitukana hapa mnanifungia siku tano..ππ
Halafu hapa atakuja na muhenga mwengine aniambie ati mvumilivu hula mbivu..!
Hizo kauli zilikuwa za awamu zilizopita sahivi ni jino kwa jino..π
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Komenti za hivi ndio huwa zinanifanya nipigwe Ban!
Mods hii ni haki kweli..?
Nikitukana hapa mnanifungia siku tano..[emoji23][emoji28]
Halafu hapa atakuja na muhenga mwengine aniambie ati mvumilivu hula mbivu..!
Hizo kauli zilikuwa za awamu zilizopita sahivi ni jino kwa jino..[emoji23]
3mzuka .. Ijue nguvu ya buku (biko)Mwandikie barua.. Kwenye bahasha, fungasha na elf 50!
Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitamboMbona unaonekana una maneno mengi?
Unashindwa nini kuyatumia kwa huyo mwanamke?
3mzuka .. Ijue nguvu ya buku (biko)
Mapenzi kamari!Akinikataa hela yangu itakuwa imeenda bure mkuu!
Najua hawezi rudisha na mimi sio mtoa sadaka wala more sadaka..π
Life in generalMapenzi kamari!
hahahaha zinachoshaKomenti za hivi ndio huwa zinanifanya nipigwe Ban!
Mods hii ni haki kweli..?
Nikitukana hapa mnanifungia siku tano..ππ
Halafu hapa atakuja na muhenga mwengine aniambie ati mvumilivu hula mbivu..!
Hizo kauli zilikuwa za awamu zilizopita sahivi ni jino kwa jino..π
He he! Hujui tu!Mbona unaonekana una maneno mengi?
Unashindwa nini kuyatumia kwa huyo mwanamke?