Msaada: Nina tatizo la kuvimba ngozi

Msaada: Nina tatizo la kuvimba ngozi

Chitolaki Napwachi

Senior Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
122
Reaction score
100
Nimepata hii Hali ya ngozi kuvimba na muwasho kwambali Kama inavyoonekanakwe ye picha. Hii inaweza kuwa Ni Nini?

Na tiba yake ni nini?

IMG_20210730_162242_147.jpg
IMG_20210730_161101_135.jpg

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu
Tizama ulaji wako na mafuta unayotumia
Tusuburi watalamu
 
ALEGY nahisi
chakula aina fulani umekura
mdudu kakutambaa
maji ambayo umeoga
AU sehemu ulilala kuna wadudu like viroboto kunguni na jamii hiyo

cha kwanza nenda duka la dawa za ALEGY na mchanganyiko wa vijiua sumu

mwanangu akioga maji ya CHUMVI huwa anawashwa na kuwa km hivyo akijikuna
au akila magimbi
 
Asante saana mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nimepata hii Hali ya ngozi kuvimba na muwasho kwambali Kama inavyoonekanakwe ye picha. Hii inaweza kuwa Ni Nini?

Na tiba yake ni nini?

View attachment 1874138View attachment 1874139

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
You have
Dermatographic Utricaria
Ni skin allergic reaction

Use
Cetrizine/Loratidine/Fenoxafetadine up to 3 times daily
Topical Steroid Clobetsaol cream twice daily

Zikigoma

Add
Predinisone 10mg daily 10 days
Monterlukast 5-10mg usiku 14 days
 
Back
Top Bottom