SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,260
Kompyuta yangu imeanza kuniletea vituko vya aina aina. Iko slow sana, applications hazifunguki kwa haraka kama hapo awali. Kila mara ile alama ya 'hourglass' ya mouse inatokeza (meaning that there is an activity going on in the background). Initially niliona kuna virus au malware fulani inafanya mazoezi kwenye system ya kompyuta. Nilirun antivirus yangu ya avast lakini hakuna kilichogundulika. Sikuridhika, nikarun programu ya anti malware: Spybot Search and Destroy nayo haikugundua kitu. Ndipo nilipoanza kuhisi lifuatalo: Kuna application inakula resource nyingi za kompyuta yangu. Je wataalamu, nipo sahihi kuhisi hivyo baada ya kukosekana kwa virus na malware?
Kama niko sahihi, je hiyo application nitaitrace vipi mpaka niifahamu? Mimi si mtaalamu wa kompyuta ila 'I can fumble about with computers and come out with a simple solution' I particularly like peering into the registry and effect some tweaks
Naomba sana mnisaidie hili tatizo la programmes kufreeze.