Nuhu Juliani
Member
- Mar 26, 2018
- 11
- 7
Wadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k
Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu, kichomi kwenye tumbo na kifuani upande wa kushoto, nahisi uvimbe chini ya kwapa upande wa kushoto, Kizunguzungu, Kupumua Kwa tabu kwa mda na Maumivu kwenye Chembe katikati ya kifua na Kuwa na Hofu.