Msaada: Nina matatizo haya kiafya

Nuhu Juliani

Member
Mar 26, 2018
11
7
Wadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k

Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu, kichomi kwenye tumbo na kifuani upande wa kushoto, nahisi uvimbe chini ya kwapa upande wa kushoto, Kizunguzungu, Kupumua Kwa tabu kwa mda na Maumivu kwenye Chembe katikati ya kifua na Kuwa na Hofu.:(
 
Umeenda hospitali kwanza labda tuanzie hapo
 
Ulifanya vipimo gani zaidi ya X-ray? Majibu yalikuwaje?

Kama bado hujafanya hivyo vipimo, nenda kapate hivyo vipimo.
Kumbuka hapo umetaja dalili tofauti tofauti jinsi hali yako ilivyo
Nimepima damu ipo 11•5 na BP ipo 100/60 .. na vipomo vingine kama taifod,malaria,HIV na angina
 
Kuhusu hyo Hb level ni nzuri sio Anemia .... na BP ni nzuri pia japo Diastolic (ya chini) inaonekana kuwa chini kidogo ...
Nakushauri ukafanyiwe uchunguzi zaidi Mkuu
 
pole sana sema kwetu huku kuna magonjwa bado sio wataalamu sana so we jaribu muhimbili kwanza
 
Jaribu kupunguza mawazo, stress huwa ina dalili nyingi unaweza sema una ukimwi kumbe stress tu inapunguza had kinga ya mwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom