kichui2018
Member
- Jan 10, 2019
- 7
- 7
Ndiowame ku truck?
Bidhaa Gani?
Aliekuuzia umewasiliana nae anasemaje?
Alipokuuzia alikupa na Risiti ya bidhaa alivonunua yeye dukani?
Una ata conversation WhatsApp, SMS, zinazoonesha uliuziana na uyo mtu?
Una screenshot la ilo Tangazo Kupatana?
tuanzie hapo.
IPhone wamemtrack lazima azitapike zoteBidhaa gani hio?
Yeah ninavyo mkuu
Duuh... Haya bwana.Badala ya kujibu Hayo Maswali wewe unasema unavyo?
We jiandae kwenda Jela. Hapo utaambiwa iyo simu ulivunja nyumba ukaiba, pia uliiba na Laptop, TV, taa za gari, ukaua na Mbwa na fedha taslim Million 8.
Note 9IPhone wamemtrack lazima azitapike zote
Duh pole yakeIPhone wamemtrack lazima azitapike zote
DahBadala ya kujibu Hayo Maswali wewe unasema unavyo?
We jiandae kwenda Jela. Hapo utaambiwa iyo simu ulivunja nyumba ukaiba, pia uliiba na Laptop, TV, taa za gari, ukaua na Mbwa na fedha taslim Million 8.