Sio wewe tu mwenye hasira za karibu,kuna wengine hata ukimsalimia tu anaitikia salam kwa ukali na huku kakunja sura kama vle kalamba ndimu
Hii tafarani inatokana na hali mbaya ya maisha na awamu hii jua linawaka hadi mifukoni[emoji3]
Ndio maana unakuta kila mtu ana kisrani[emoji3]