Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Dawa ni kumtoa tu.Tafuta oil chafu upake pale juu ya funza kila siku usiku funza litakosa hewa na kuozea mumo kwa mumo na utapona bila hata kulitoa. Pia ukikosa oil chafu paka hata mafuta ya mgando it may help sababu dhumuni ni kulinyima oxygen lifie mumo kwa mumo.
Boss sisi huku wote ni wa kuja tuuu. Hata mm nilijua ni funza ila nilikuwa nataka confirmation. Vipi Songea wazima??Watu wengine mnajua 'kufake' kwa kweli. Na ndio uanaume wa Dar huo.
Yani upo na mtu ambae ameweza kujua tatizo ni funza alafu huyo mtu asikupe suluhu ya tatizo hilo mpaka ulete uzi JF?
Nadhani umetumia akili za huyo funza aliyeko mwilini mwako.
Asante sana CCTafuta mtu anayejua kutoa akutoe kisha akuekeee mafuta taa
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Nipo mto wa mbu mkuu nauza vinyago. KaribuBoss sisi huku wote ni wa kuja tuuu. Hata mm nilijua ni funza ila nilikuwa nataka confirmation. Vipi Songea wazima??
Pole sana mkuu,mwagia mafuta ya petrol sehemu alipo huyo bwana funza then pitisha moto hiyo sehemu.Kwanza Niungane na Muhenga Aliyetunga Methali isemayo " Mficha Maradhi Kifo humuumbua"
Na kwa sababu sitaki kifo, nimekuja kwenu kuomba msaada.
Wakuu naandika Thread hii ikiwa ni Saa 9 usiku baada ya kukosa usingizi kabisa licha ya kuwa na uchovu wa wiki nzima inayoishia.
Nimeshituka saa 8 za usiku na kukuta mguu unawasha Sana ila ni maumivu ambayo sometime yanaambatana na Utamu fulani hiviiii
Nikaanza kujikuna, lakini maumivu ndo yanaongezeka kiasi kwamba inabidi nijikune Throughout.
Ki ukweli mimi Naishi Karatu Arusha. Nipo kwa Muda sasa maeneo haya na eneo hili lina vumbi sanaa. Imebidi nimuulize jamaa yangu usiku huuu kuwa hili ni tatizo gani??
Amenijibu kuwa ni Funza. Sasa mimi sijui hata hawa funza wapoje. Si unajua tena sisi Watoto wa Das'lam hivi ni vitu vigeni kwetu.
Hivyo wakuuu naomba ABC za kufanya utatuzi wa hili suala maana shidaaaaaaa.
Yani nimekosa amani kabisa.
Pia naomba na njia za kujikinga na janga hilii
Mkuuu si ntalipuka??Pole sana mkuu,mwagia mafuta ya petrol sehemu alipo huyo bwana funza then pitisha moto hiyo sehemu.
Nilikuwa Double M hapo usiku wa janàNipo mto wa mbu mkuu nauza vinyago. Karibu
Hapana,funza atakufa.Mkuuu si ntalipuka??
Mkuuu si ntalipuka??
Nenda hosptalKwanza Niungane na Muhenga Aliyetunga Methali isemayo " Mficha Maradhi Kifo humuumbua"