Msaada: Nimfanyeje anielewe?

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
126
Reaction score
59
Kuna binti nampenda Sana Mimi namfaham ila yeye hanifaham vizur maana shule zetu zilikuwa Jirani ndo niliko mjulia now ni mwalimu wa shule ya msingi mwanza na Mimi niko Dar nafanya kazi company moja hapa mjini, nashindwa nianzaje hadi anielewe kwamba sipo kwa ajili ya kupotezeana muda nataka awe mke.

Sihitaji matusi ukishindwa kushauri bila matusi pita pembeni itakuwa vzr zaid
 
Ungetoa na namba kabisa ili tukamtie sound kwa ajili yako mkuu.
 
Sasa ndugu kama umeweza kutuambia sie tulio zaidi ya milioni unashindwa kumwambia yeye mmoja kweli?? Hebu jiamini simama wewe kama mume mtarajiwa mwambie ukweli ulionao kama ni ubavu wako basi kila kitu kitaenda sawa, ila kama sio usilazimishe ndugu
 
Ndugu, hata namna ya kumtongoza hujui? Kwani wapenzi uliokuwa nao mwanzo walikufahamu. Jinsi ulivyowaanza hao na huyo pia ndiyo hivuo hivyo. Ila unatakiwa kuwa muwazi zaidi na uwe na ahadi zinazotekelezeka. Ukiendelea kuzubaa utakuta tayari ameshachukuliwa
 
Tafuta namba yake au face kwa face mwambie unavyojihisi moyoni mwako. Basi inatosha
 
Itabidi ufunge safari kwa ajili yake mpaka mwanza bila yeye kujua kuwa umetoka ulipotoka kwa ajili yake....Na wakati wa kukutana naye fanya namna ajue hukuwa umeplan kuonana naye ila umekutana naye tu kwa bahati mbaya...Na mwanzo wa mazungumzo usimueleze kuwa ulikuwa ukimpenda toka udogoni maana anaweza pata mashaka na atakuwa na shauku ya kutaka kukujua sana....Ila akiingia line ndo utaweza kuja kumweleza kuwa alikuwa ni mwanamke wa ndoto zako toka kitambo..
 
Asante Mkuu nimekuelewa thanks, but number yake sina huwa nachart naye Mara moja moja fb
 
Thanks Mkuu ila hanyeshi ushirikiano kivile
 
mfate tu mbona rahisi mkiitwa wanaume wa dar mnalialia ata kutongoza jamaan kweli uje kuuliza
Kutongza najua ila ataamini hisia zng kwa ukweli nitakao muweza kibaya zaid haonyeshi ushirikiano sina namba yk huwa nachat naye fb ck moja moja Mara aijib wakati flan anakausha sijui ndo huwa yuko bize xn
 
Asante Mkuu ushauri ulio enda darasani huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…