Huoni ni psychiatric case hii? Huhitaji kusoma hata mara mbili. Anahitaji matibabu ya akili.Tukusaidie vipi?
Jamaa anaonekana ana tatizo linalohotaji uangalizi wa psychiatrician!Kuna jama alikua analalamika kila siku asaidizwe depression inamsumbuwa jami inampuuzia yani ameishia kujiuwa mwenyew ,mweny msada wowote amsikie muhusika hata amfate pm maybe atafunguka coz inaonyesha jama anamatatizo kweli ila ametumia njia mbovu ya kujieleza kwa kuhofu kitu cocote !!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀This is real life mkuu.. of course nipo under tension kwa sababu nipo detained ila sijawehuka...
Nipo vizuri kiakili mkuu.
Shida yangu haya maCCM yaliyonifuatilia hadi nje ya nchi.
Ninapigwa collabo na mataifa zaidi ya sita.
Nimehifadhiwa somewhere japo ni kifungo cha nje ila kuna kazi nzito sana.
😀😀😀😀ni kweli kabisa uongozi wa hospitali ya mirembe wajaribu kuangalia orodha ya wagonjwa wao waliotoroka hivi karibuni ili kujiridhisha kuwa mleta uzi si miongoni mwao
soma acha uvivuAliyemaliza kusoma atanielewesha uko china wamemfanya nini
Ebu niambie basi wamemfanyaje uko chinasoma acha uvivu
Zaidi ni mama yake tu na CCM ndio wanamfanyia mtima nyongo😀😀😀😀Aliyemaliza kusoma atanielewesha uko china wamemfanya nini
HahaaHuyu awahi milembee ,,,nimeelewa tu VUTA NIKUVUTE
Kwahiyo ndio wamemteka China anataka achangiwe nauli arudishwe auZaidi ni mama yake tu na CCM ndio wanamfanyia mtima nyongo😀😀😀😀
Hapana kule china kuna watanzania wawili na wengine wa mataifa ya nje wanamuwindaKwahiyo ndio wamemteka China anataka achangiwe nauli arudishwe au
Pole yakee mnoHapana kule china kuna watanzania wawili na wengine wa mataifa ya nje wanamuwinda
Tatizo lako wewe mbona unakanusha sana kwamba hao CCM hawahusiki wakati ndio walioniweka huku kifungoni?Mkuu, ahsante kwa ushauri wako.
Ni dhahiri kwamba Joseph anahitaji kumwona daktari.Ila kwa tatizo lake unadhani atatuelewa kweli tunavyomwandikia hapa?Nadhani akili ishajiset kwamba yote haya ni hao jamaa wa CCM ndio wanasababisha.
Mkuu hizo vita zisizoonekana ni vipi?Tatizo lako wewe mbona unakanusha sana kwamba hao CCM hawahusiki wakati ndio walioniweka huku kifungoni?
Huwezi jiuliza kwanini niliondoka vyuo vyote hivyo na bado naomba msaada UN na amnesty international?
Kwa hiyo kwaakili zako unahisi nani atanihangaisha namna hii mpaka nifikie jukumu la kuja kuomba msaada humu?
Are you crazy? Nyinyi maCCM siku ipo tuu.
NB 1: Nimejifunza kuna nguvu kubwa inatumika kukanusha majasusi wa CCM hawahusiki wakati ndio sababu ya yote haya.
By the way sina haja ya kujificha kwani wengi wanafahamu hili hata mkilizima kwa namna gani bado waungwana watanisikia.
NB 2: Mnakimbilia kuwa mimi nina matatizo ya akili, kejeli kibao ili kuzima hii ishu ila niwaambieni tu mbinu chafu hii imeoza maeneo yote niliyopita watu wanajua na wananijua vizuri. Nawashauri acheni utoto kama ni kuumbuka mlishaumbuka toka siku nyingi sana.
Sasa wewe ndugu yangu kama hujawahi kukutana na mambo kama haya utaweza ona ni chenga tuu ila ni mambo ya kweli.Hata kama maccm ni mabaya na unayaonyeshea wazi maadam hugusi maslahi yao hawana shida nawewe