Msaada: Nimetekwa China

Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Nasikitikia muda niliopoteza kusoma ujinga huu.
 
Sio siri wewe unahitaji tiba ya akiri mapema sana.
 

Mkuu sema tu ukweli tu rucu uliliwa kichwa na senya na sterling Kitinya Hawana ubabaishaji maninja hawa. Nilishafundisha chuo hicho na courses hiyo napajua vizuri.story zako hazina uhalisia.
 
Mkuu Kwani siasa zina umuhimu Sana Maisha mwako kwa nn usi Achane nazo
 
Mkuu waombe radhi, jiunge nao ( japo sijui kama huwa wanasamehe). Maana huwezi kwenda mbinguni kwa kuwapenda au kuwachukia. Hisia zako ubakie nazo moyoni mwako na kwenye chumba cha kupigia kura
 
Yaani watu wawe na nia mbaya na wewe halafu waruhusu upewa passport na Visa kusafiri nje ya nchi !!!!! Hebu lipa kile ulichowaahidi kuwa utafanya, halafu hukufanya, kama ni kumpoteza mtu, mpoteze haraka. Kama ni kweli ni lazima kuna siri kubwa unaifaham na ukiendelea kuropoka, nasubiri taarifa.....Mtanzania akutwa amekufa nchini China.....
 
Mkuu sema tu ukweli tu rucu uliliwa kichwa na senya na sterling Kitinya Hawana ubabaishaji maninja hawa. Nilishafundisha chuo hicho na courses hiyo napajua vizuri.story zako hazina uhalisia.

Mkuu we utakuwa konk master, umeshamaliza Mandela?
 
Usituchoshe! Hapa Tanzania hatuna kijana wa umri wako anaepigiwa collabo na mataifa 6 kwenye maswala ya siasa

Umesema kwa sasa umehifadhiwa kwa maana kwamba waliokuhifadhi wapo sported na wewe. Sasa hebu tutajie majina yako maana kama ni kweli lazima tujue ni mwenzetu yupi katekwa

Haiwezekani unapigiwa collabo na mataifa 6 alafu tusikufaham,,,, kama hutawathibitishia watanzania wewe ni nani, basi hautaeleweka hata kidogo.

Nasema tena kwamba, kama hutaki kututhibitishia sisi watanzania wasifu wako, utabaki kuwa ni muongo na mzandiki

1) Tuthibitishie majina yako na
2) eleza kwa kifupi au kirefu historia yako ya siasa hapa nchini

Hili sio ombi bali ni wajibu wako ndani ya siku hii uwe umefanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…