Hili jukwaa halina majibu ya kipumbavu, nenda mmu..
ndio kaka, nimeassume labda kila kitu kipo hivyo japo pia anaweza kutumia command ya fastboot -w kama yaweza kumsaidia
Watu mmekariri mnafikiri kila simu ni V+ Power, hizi simu za itel mpaka utumia flash box..!
Sio sahihi, to use adb or fastboot you just need debugging enabled, and the computer you are using to be trusted by the device. Root is NOT necessary as you answered the guy juu hapo.
Unajua maana ya nimeassume?
Unajua matumizi ya comma? "Ndio kaka, nimeassume...." Your answer was before the comma. He asked kama debugging mode and root is needed and that was your answer, what came after comma ni maelezo.
So your answer was supposed kuwa 'Hapana' na kama ulikuwa na assumption ungemrekebisha kuwa root sio lazima in your explanation.
And lastly, it doesn't take a lot to acknowledge a miscommunication in your answer.
ss wakuu njia zote zimegoma nimefanikiwa2 kuwasha wireles na packet data nikiweka email result invalid email or pass
Labda siwezi kukubishia sana niambie umetumia software gani?Acha siasa, nimeziflash sana hizo cm bila hata ya box, au nawe umekariri
Watu mmekariri mnafikiri kila simu ni V+ Power, hizi simu za itel mpaka utumia flash box..!
So we unafikiri jamaa hapa alitumia box gani? [Guide] How to unbrick Itel it1500 Grand spr⦠| Android Development and Hacking | XDA ForumsLabda siwezi kukubishia sana niambie umetumia software gani?