Mh!..tatizo inaweza kuwa laptop sio yako unataka kuingia au imeibiwa. Kwa hali ya kawaida ni vigumu sn usahau passeord yako tena ya kitu unachotumia almst kila siku
Jaribu hii
HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code "net user administrator /active:yes". NOTE this mark not needed ("").
{5} Restart your system. Now a new login account will be created
AU
Restore window . Fanya kama unapiga window kisha angalia kwa chini baada ya install window utaona restore window. Click hapo ila utapoteza installed program.
Kuna software km Passcape_Software_Reset_Windows_Password_ na zingine zinaweza kutoa password
Mh!..tatizo inaweza kuwa laptop sio yako unataka kuingia au imeibiwa. Kwa hali ya kawaida ni vigumu sn usahau passeord yako tena ya kitu unachotumia almst kila siku
Siku nyingine ukiuziwa kitu chenye password ubadilishe utumie za kwako. Gharama tena unajiongezea na km hujui kupiga window kazi kwako inabidi utafute fundi