Msaada: Nimenunua simu yenye icloud

Kuna iPhone 3 ina same problem jamaa kaletewa toka abroad
iphone 3? Mkuu hakuna iphone 3 inayoweza kuwa na icloud maana hizi zilishapigwa chini miaka mingi iliyopita hata servers za apple sidhani hata kama zinazitambua kwa sasa na kuwa na iphone 3 ni sawa na kuwa na kitorch maana zaidi ya kupiga kutuma sms na vipicha vya2.5megapixel hakuna la zaidi
 
Jamaa anayo hiyo. Vipi unaweza kuifungua ?

Congo siyo Kongowe
 
Jamaa anayo hiyo. Vipi unaweza kuifungua ?

Congo siyo Kongowe
Mkuu narudia hakuna iphone 3 yenye icloud, hata kwenye iphone 4 ni weak na inatoka. Ofcourse kwenye simu kuanzia iphone 5c kurudi chini inatoka kirahisi maana ni 32 processor na hiyo simu itakuwa na tatizo lingine siyo icloud na hata ukiitengeneza ni sawa na torch hata whatsapp huipati humo
 
haraka saaaana toa kioo, betri and other parts ukauze kwa mafundi walau upate 10 percent ya ulichotoa kununua hiyo simu.
 
Back
Top Bottom