majohe kona
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 257
- 263
Ametapeliwa unatoa pesa hujaikagua sim vizuri
Mkuu mbona kicheko Sana?? Hii akizubaa itamchachia si muda mrefuwabongo bhna
niuzie mm nina elfu 50 hapaHabari za muda huu wakuu nlikuwa nashida nahitaji msaada wenu,ni kwamba siku ya jana nilipitia pitia kupatana nikakutana na simu ya iphone 5s,nikaipenda but sina idea san na iphone basi nkaonana na maaskaji nkaikagua then nkamlipa but hakulog out account yake ya icloud,kufika home ndo wanaozjua jua iphone ndo wakanambia mistake nloifanya nlivyompigia mahkaji akasema yeye hyo sm alimpaga mdogo wake,hivyo mdogo wake alisahau password,alivyokata sm skumpata tena,je kuna njia gan ya kuweza kulog out,au kudown load vitu msaada tafadhali smu ndo nnayotumia now
Naona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasilianeHabari za muda huu wakuu nlikuwa nashida nahitaji msaada wenu,ni kwamba siku ya jana nilipitia pitia kupatana nikakutana na simu ya iphone 5s,nikaipenda but sina idea san na iphone basi nkaonana na maaskaji nkaikagua then nkamlipa but hakulog out account yake ya icloud,kufika home ndo wanaozjua jua iphone ndo wakanambia mistake nloifanya nlivyompigia mahkaji akasema yeye hyo sm alimpaga mdogo wake,hivyo mdogo wake alisahau password,alivyokata sm skumpata tena,je kuna njia gan ya kuweza kulog out,au kudown load vitu msaada tafadhali smu ndo nnayotumia now
Mkuu unahakika nije inbox maana nami niliuziwa iPad na mtu yupo safarini ameishiwa nauli akitokea South Africa kila nikiifungua tu inanitaka Apple ID verification password sema tu nafanya kusikip nakuitumia kiugumu lakini haipiti dk inaleta msg ya kuupdate ICloudNaona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Kwani yeye ndo atamsaidia nini iwapo hata ukienda pale Cupertino hupewi msaada wowote
Hyo ni ipad gani? Na inarin ios ngapi?Mkuu unahakika nije inbox maana nami niliuziwa iPad na mtu yupo safarini ameishiwa nauli akitokea South Africa kila nikiifungua tu inanitaka Apple ID verification password sema tu nafanya kusikip nakuitumia kiugumu lakini haipiti dk inaleta msg ya kuupdate ICloud
Hyo 5s irun ios ngapi?Naona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Fursa hiyo mkuu....Vijana wanalialia hapaa kumbe mtaalamu upoo!!Kwa wale wote mliyokuwa na tatzo km hlo la mlete mada muweke detail za kutosha ili iwe rahisi kusaidiwa
1. Ni iphone au ipod gani
2. Inarun ios ngap
3. Je mail app ipo signed au logout
Kisha mje inbox
Hahaha
Kwa wale wote mliyokuwa na tatzo km hlo la mlete mada muweke detail za kutosha ili iwe rahisi kusaidiwa
1. Ni iphone au ipod gani
2. Inarun ios ngap
3. Je mail app ipo signed au logout
Kisha mje inbox
Great thinker wa jf huyoHabari za muda huu wakuu
Nina shida nahitaji msaada wenu. Siku ya jana nilipitia pitia kupatana nikakutana na simu ya iphone 5s, nikaipenda but sina idea sana na iphone.
Basi nikaonana na muuzaji nkaikagua then nikamlipa but hakulog out account yake ya icloud.
Kufika home ndo wanaozijua iphone wakanambia mistake niliyoifanya. Nilivyompigia muuzaji akasema yeye hiyo simu alimpaga mdogo wake, hivyo mdogo wake alisahau password. Alivyokata simu sikumpata tena.
Je, kuna njia gani ya kuweza kulog out au kudownload vitu?
Msaada tafadhali, simu ndo ninayotumia hivi sasa