jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,830
- 10,090
Habari za muda huu wakuu
Nina shida nahitaji msaada wenu. Siku ya jana nilipitia pitia kupatana nikakutana na simu ya iphone 5s, nikaipenda but sina idea sana na iphone.
Basi nikaonana na muuzaji nkaikagua then nikamlipa but hakulog out account yake ya icloud.
Kufika home ndo wanaozijua iphone wakanambia mistake niliyoifanya. Nilivyompigia muuzaji akasema yeye hiyo simu alimpaga mdogo wake, hivyo mdogo wake alisahau password. Alivyokata simu sikumpata tena.
Je, kuna njia gani ya kuweza kulog out au kudownload vitu?
Msaada tafadhali, simu ndo ninayotumia hivi sasa