Msaada Nimenunua LUKU M Pesa

Msaada Nimenunua LUKU M Pesa

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
habari zenu wakuu:Jamani kwa anaejua tatizo ni nini nimenunua Umeme toka asubuhi kwa Mpesa mpaka sasa sijapata token na hela nimekwatwa: Msaada tafadhali:
 
usiogope subiri baada ya saa 24 utapata token yako ikizingua nenda ofisi ya tanesco na msg yako ya lisiti
 
Siku nyingine piga 15366 sawa?au nenda vodashop.ila M-pesa leo inasumbua.wacheki jamaa hao kwa msaada wa haraka
 
mi nilinunua nikapewa baada ya masaa 6 ! Kuwa mvumilivu ndg yangu
 
habari zenu wakuu:Jamani kwa anaejua tatizo ni nini nimenunua Umeme toka asubuhi kwa Mpesa mpaka sasa sijapata token na hela nimekwatwa: Msaada tafadhali:

Voda wanachelewesha ila utapata badae.
Next time utumie tigo au airtel ndo ziko faster
 
usiogope subiri baada ya saa 24 utapata token yako ikizingua nenda ofisi ya tanesco na msg yako ya lisiti

Teh teh utakuta umenunua wa elfu 2.....ulipo mpk tanesco naul elfu 3,bora uminyane
 
asanteni sana wadau bado nasubiri:

utasubiri mpaka kesho mkuu!!

Wapigie simu huduma kwa wateja watakurejeshea hela yako ukanunue directly fron vending station:

Ukiona hivyo jua wana rundo la matatizo ya kushughulikiwa, kwa kawaida halizidi lisaa wanakurejeshea hela yako wanakuambia hawajafanikiwa kununua huo imeme kutoka Tanesco hivyo muamala wako unakuwa cancelled!!
 
Asante kwa ushauri; nimepiga sn mkuu network busy all the time: daaa
 
usichoke kuwapigia simu, we piga tu mpaka wapokee na uwakomalie sawasawa, watakurudishia ndani ya dakika moja tu mara ukatapo simu!!
 
habari zenu wakuu:Jamani kwa anaejua tatizo ni nini nimenunua Umeme toka asubuhi kwa Mpesa mpaka sasa sijapata token na hela nimekwatwa: Msaada tafadhali:

Voda ndio walivyo nunu kwa Tigo aina usumbufu jaribu hata kwa elfu tatu utakubali
 
Voda wanachelewesha ila utapata badae.
Next time utumie tigo au airtel ndo ziko faster
Nakushauri utumie Tigo pesa, kwenye ununuzi wa umeme ni faster mno!!! Yaani ukimaliza tu transanction sms yenye namba za voucher inaingia papo hapo. Tatizo sometimes liko kwenye NMB Mobile. Niliwahi kununua kwa NMB Mobile ikawa inaniambia service is not available nikajaribu kama mara 3 hivi nikashindwa. Baada ya siku 2 zikaja voucher zote 3 nilizokuwa nimejaribu siku 2 kabla!!!
 
Back
Top Bottom