Chakata kila siku.Muda mwingi napenda kuwa online kama nipo free. Usiku nakesha mitandaoni, naamka nimechoka sana, huu uraibu unanitesa.
Yaani nikikosa kuingia sina raha. Imekua zaidi ya ulevi sasa. Sijui nifanyeje nipunguze hii addiction wadau.
We chakata muda wote kila kitu kitakuwa ok.Tatizo nasinzia Job sometimes
Kwa kuchakata?Jiajiri..