Msaada: Nimekosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala mwingine

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,845
2,000
Nimekosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala mwingine

Nilikuwa natoa hela ya kula kwenye simu jumla elfu 52 si kumbe nimekosea namba ya Wakala ndo ikatoka kwa jina la wakala mwingine sasa sikuangalia vizuri

Hii hela inaweza kurudi kweli? Halafu ndo nayotegemea hela ya kutumia nayoitegemea inisogeze hadi tarehe 28 au tarehe 1 na njaa inauma kinoma

Nambieni nifanyeje maana hata sielewi
 

Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,574
2,000
Kama ni kwa wakala utaipata piga simu kwa wateja japo itakuwa ni zaidi ya 24 hrs. Ingekuwa ni kwa mtu hiyo ni pata potea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom