Msaada: Nimekosea email

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
219
Habari za kazi?
Juzi nilikuwa nafanya maombi kwenye vyuo mbali mbali vya afya through NACTE online registration sasa nkakosea email, nashindwa
kuendelea na chochote. Nawapigia hawapokei nawatumia email hawajibu sasa cjui nifanyeje wadau.

Naombeni mwenye mawazo au msaada!
 
Fanya maombi tena kwa email sahihi. Anza upya.
 
Na mimi yaleyale nilikuwa namfanyia mdogo wangu yakanitokea hayo ya kukosea email na hawa ukiwapigia kupokea issue,,
 
Hapana haina haja ya kulipia tena. Just waandikie nacte kwa kupitia email ya admissions@nacte.go.tz ukisema kilichokukuta kwa kutumia email sahihi watakubadilishia na utaendelea na profile yako ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…