Hiyo simu sio android...ni ya kawaida tu kikubwa nilichokuwa nacho ni hiyo IMEI tu na namba yake.Kama huna kazi zingine za kufanya za maana then endelea kufuatilia ,kama unazo achana nayo nunua ingine utapoteza muda kwani ukienda tigo lazima uwe na ripoti ya polisi na polisi ukienda lazima uwe na risiti na bado huo mzunguko wake utakoma ubishi ,ushauri wangu wewe mnyime raha tu huyo mwizi ,iflash kwa pc mara kwa mara...samsung wanayo option iyo katika tracking kwamba unaweza kuilock au flash simu yako iliyoibiwa ....all the best
Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE CHUWA anatumia mtandao wa tigo) Baada ya kufikiri way to do nikaamua kumpigia simu baada ya kujitambulisha na kila kitu nikamwambia kwamba hiyo simu anayotumia ni ya kwangu. Akakata akasema ye hatumii samsung na anatumia TECNO na yupo morogoro(Mi nilimwambia niko dar ingawa simu nilipoteza nipo Arusha).
Sasa nimepanga kesho nimpigie tena nimsisitize airudishe hiyo simu...so naomba ushauri nifanye kipi? Manake nafikiri kama ataendelea kugoma kuirudisha basi niende tigo office nikaripoti ili ifungiwe kabisa. What is the advice wadau.
Hahaaa Nashukuru kwa mchango wako!! Noted(I'm /Me)Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.
Kama ni mwanamme ungetumia mwanamke ajifanye kapiga wrong number, halafu aanze uhusiano wa ku chat nae, siku moja au mbili ya tatu Date, hapo unamkamata vizuri na simu mkononi. Tena unaenda ku report kuibiwa simu yako kabisa, uwe na record polisi.
Siku nyingine usifanye papara kijana.
Hahaaa Nashukuru kwa mchango wako!! Noted(I'm /Me)
Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.

I thought you knew,tena ni mtego mbaya sana.Hivi kumbe unaweza ukawekewa mwanamke wa mtego duh ndo maans cpend muendelezo na hizi wrong number