Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Hapo shangazi mwambie kuwa unajua shangaz mm huwa nnaota huku natembea kwahyo nlkuw npo out of my mind.
 
na hilo ndo lililokuwa akilini niseme nilikuwa usingizini ila had sasa nimekimbia kikao.. kumbe naweza nikaharibu zaidi eeeh..!!!!
Kesi ikiwa ngum zaid ni kwenda kwa nabii Tito tu hamna namna aisee.
 
Shangazi hakufahamu kwani?
Mkuu ledada Huyu inaelekea ni mwanafunzi katutungia i mean ni hawa wa kundi linaitwa wanafanya Mtindo mbaya.Mkubwa anafanya mapenzi ila wanafunzi wanafanya mtindo mbaya japokuwa tendo ni moja.
 
wacha upuuzi..... kwani alikukamata,,, au kuna alama umeacha......komaaa sio wewe......kesi ndogo sana hii...kwani umeiba??komaaa,,,, halafu wacha uasherati ....oa kama unataka mbunye binafsi.......
Mkuu kwani hujui kuna mbunye za umma!?
 
Mkuu ledada Huyu inaelekea ni mwanafunzi katutungia i mean ni hawa wa kundi linaitwa wanafanya Mtindo mbaya.Mkubwa anafanya mapenzi ila wanafunzi wanafanya mtindo mbaya japokuwa tendo ni moja.
kesi nishaimaliza mkuu ahsanteni kwa mliyoona nimetunga ila omba yasikukute...
 
Hapo hauna kisingizio kingine zaidi ya pombe, kuna mwenzako alitaka kubaka akakimbilia kwenye mahindi sema alikua pombe ni hatari.
Mkuu umenikumbusha huyo jamaa aliyeemfuata binamu yake bafuni kipindi ameenda kijijini kusalimia.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We jamaa mjanja sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…