GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 12
Wana JF habari zenu.
Ngoja nikupenii hii habari, Juzi tarehe 19 jumamosi usiku nilienda CRDB ya Holland house ku deposit laki 3 kwenye Atm, nimewahi kutumia hii huduma siku za nyuma
na sikupatwa na hili tatizo, Sasa wakati nadeposit pesa ilichukuliwa, na ikanipa risiti
iloandikwa : cash not taken and retracted. nikacheki balance nikaona haiko, jumatatu jana nikaenda kucheki nikakuta haiko, nikaenda customer service, wakaniambia baadae
itaingia kwenye account yangu, jana usiku nimecheki haiko, sasa hivi mchana
natoka huko sijaikuta, customer service wananiambia itingia, lakini sioni dalili yoyote
kama nitaipata pesa yangu, sasa wana jf nimekuja kwenu mnipe ushauri
wa kufanya ili nipate haki yangu.......