Fourier kama mpaka umeweza ku install VLC maana yake ulisha activate hyo iPad na Apple ID yako, cha msingi sasa hivi ni nenda kwenye website ya icloud (Icloud.com), login in kwa kutumia Apple ID yako, click button ya find my iphone... itakuja page nyengine , the pale juu kwenye "All devices" click na uchague simu yako kwenye hyo list(Kama kila kitu kiko sawa, itaonekana) ukishachagua. Click Button ya lost mode (Kuakikisha inakua vigumu mtu mwengine kuifanyia activation).. then unaweza ukaweka message na namba ya simu ili mtu atakae iwasha aweze kufanya contact ( akiwa mwema kihvyo )...