MSAADA! nimedisco chuo nifanyeje?

mr wilehard

Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
49
Reaction score
23
Wakuu poleni na majukumu.


Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua wit education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?


Nawashukuru sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaruhusiwa mkuu tenaa mwambie awahi kabla mdaa hujaisha ilaa mkopo hapo ndo hasau tenaa. .

Nokia ya Torch
 
Ni bora kadisco maana nimekuwa najilaumu ni bora hela niliyolipa ada ningekuwa nafanya mambo mengine ningekuwa mbali saana.

African education its insane it makes you more dependable tu. Its lock your potential and ability to the extent that you can't tap into your genius level talents.

Shtuka skull kumekuka kitaa ndo mzuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie asikate tama, kwa usawa huu wa magu aje njombe tulime awe tajiri,
 
ngudu yangu kudisco sio mwisho wa maisha omba tena chuo chochote utapata as longer umeshinda competition iliopo,sema swala la mkopo ndio kama alikuwa na mkopo ndio issue coz kama amemaliza ndani ya miaka mitatu atatakiwa kurudisha 25% ya pesa zote alizopewa ndio anaruhusiwa kuomba tena.
kuhusu swala la kudisco inategemea na chuo mkuu mzumbe watu wanadisco wana gpa za 3.7 huko swala ni sup 4 unarudi home watu wanadisco pale wana A mzumbe wana shule ngume saaaaaaaana pale aende kuomba vyuo ambavyo ataweza kusoma na kufanya kibarua kama open,saut,na vingine ving
my regards
obadiah mayunga
 
Tatizo kilimo ndo uti wa mgongo wa nchi..japo kuwa tunakikimbia ...apo shamba linakuhusu mkuu..njoo tuungane na jembe uku mwisho wa reliii
.
 


Hahahaha mkuu nilikuwa hapo miaka ya nyuma, nilitesekq sana sina hamu
 
hakuna chuo kigumu Tanzania kama mzumbe sheria za pale wangeweka vyuo vingine hakuna mtu angebaki chuoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…