Msaada:Nimechoka kuwa domo zege

Sasa hao wa mara moja moja sio ndio fungu lako????

Ukiwa mdomo mzito pesa Ni mdomo pia
 
Habari zenu wanaMMU.
Najua humu kuna wajuzi wengi waliobobea kwenye mbinu za kuwanasa walimbwende.Sins shaka nitapata msaada.

Nimeamua kuweka wazi maana mficha maradhi kifo humuumbua.

TWENDE KAZI
Shida kubwa nayopata ni kwenye namna ya kumuongelesha msichana ambaye humjui hakujui.Hii imesababisha kutukanwa sana na hawa mabinti kwa namna navyoanza convo.Mda mwingine unajikuta unaishia kumuuliza mtu jina na kukosa cha kuongea(shame on me).

Tupeane madini nyinyi vidume wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kuhakikisha ndoano haitoki kapa?

NB:Huwa nafanikiwa kupata Mara mojamoja sana.Ila naona kama bahati tu na si maujanja yangu.

Toa Helaa!!! Hamna namna nyingine
 
Kutongoza kipaji na sio kila mtu kajaaliwa. Tafuta pesa zitakusaidia kuongea.
 
Mbona izee tu, wewe Anza kwa kumsalimia mfano, mambo mrembo, halafu unamuambia Mimi naitwa flani ningependa kufahamu jina lako au unamuambia naomba pia nami nikufahamu,wakati unachezanae hivo hakikisha macho unamuangalia usoni na anapojibu unakwepesha macho kidogo ili asijisikie aibu kujibu. Baada ya hapo unaweza endelea na story nyingine...
 
Nimekusoma mkuu..eye contact in muhimu kweli.
 
Pole aisee, inaonekana pia unawaogopa wanawake ndo maana unakosa ujasiri ukiwa na dame maneno yanapotea
 
Habari zenu wanaMMU.
Najua humu kuna wajuzi wengi waliobobea kwenye mbinu za kuwanasa walimbwende.Sins shaka nitapata msaada.

Nimeamua kuweka wazi maana mficha maradhi kifo humuumbua.

TWENDE KAZI
Shida kubwa nayopata ni kwenye namna ya kumuongelesha msichana ambaye humjui hakujui.Hii imesababisha kutukanwa sana na hawa mabinti kwa namna navyoanza convo.Mda mwingine unajikuta unaishia kumuuliza mtu jina na kukosa cha kuongea(shame on me).

Tupeane madini nyinyi vidume wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kuhakikisha ndoano haitoki kapa?

NB:Huwa nafanikiwa kupata Mara mojamoja sana.Ila naona kama bahati tu na si maujanja yangu.
Kuna kanuni kuu tatu ukizifuata huwezi teseka kwa mwanamke
no 1 mpe hela no 2 we mpe hela no 3 usiache kumpa hela.
 
Sikia nipe namba yako ili siku ukikutana na mrembo unanibip halafu mimi nitakupigia simu then unampa huyo mrembo nikutongozee
 
Unataka kuwa domo vigae!!udomo zege unasaida mengi sana, ngono si ujanja wala nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom