Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Itakua mshahara umezidi ufanisi wa kazi kwa muhusika.
 
Nilitaka nikutukane nafsi ikanishauri niache ila bado nimeshindwa hata nikushauri nini...ila take it from me..."Mtaani ni pagumu kama jiwe la volcano", jipange kabla hujaacha kazi!
 
Na Amani Ya Moyo Iamue Mioyoni Mwenu , , Huo Ni Mstari Upo Kwenye Biblia Kwamba Amani Inaweza Kukuamlia Kufanya Au Kutofanya Kitu ILA KUMBUKA PIA HATA SHETAN NAE ANAWEZA KUKUONDOLEA AMAN NA UKAJIHISI HIYO KAZI HUITAKI KUMBE SI MPANGO WA MUNGU KUACHA KAZI KUMBUKA, KUPATA KAZI C RAHISI HIVO USIJALIBU KABISA KUACHA KAZI, ILA TUMIA MAOMBI KUFANYA MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE kumbuka kila aliitaye jina la bwana na aache uovu , acha dhambi mtafute bwana yesu
 

Utakua na matatizo wewe sio bure, watu wana hanya kitaa na Masters zao plus CPA halafu wewe unakuja na ngonjera?? Shauri yako utakuja juta... By the way European Union wametangaza post ya Accounts Clerk.... Jaribu kusoma daily news ya January 17 2018
 
kama kwenu mpo vizuri... na huna majukumu nakushauri ufanye unachokipenda tu
 
Nipo mjini mkuu,,, ila nimeipenda hii point yako Ila bana kikubwa.... Kazi ni ile inayo kupa furaha hata kama unafanya bure.
It happened kwangu pia I resigned simply I was totally not happy but now am happy so fuata moyo
 
Hakuna tatizo mkuu imetokea tu sijisikii furaha ile nnayotaka kwa kuendelea kuwa hapa
Una matatizo makubwa kuliko unavyojijua,unapewa ushauri unabisha
Au unataka kufanya kazi masaki hutaki viwandani hakuendani na hadhi yako?
 

ERP ndio accounting package gani hiyo?
 
Wakati mtu unapoomba kazi kuna kipengele cha " nitafanya kazi katika mazingira yoyote" sasa wewe mkuu mbona mazingira yaki mazuri tu na bado una wasi wasi, je kwenye misheli sheli utaweza kazi wewe
 
Ukweli mchungu ni kuwa mleta uzi anakaribia kufukuzwa kazi..........wenye uzoefu washaelewa
 
dogo kazana tu upate CPA ila sehem nyingi mazingira ya kazi ni hovyo
 
Wakupime mkojo wewe sio bure. Watu wanatafuta hata hiyo kazi wafanye hata waambiwe wafanye kazi wamewabeba mabos wao migongoni lakin hawaipati. Et wewe huitaki kazi kisa huna peace ov mind. Nikushauri sasa. Hiyo kazi kwanza iache ndo uanze kutafuta nyengine
 
mkuu labda shida jina la cheo,msaidizi wa mhasibu/mhasibu msaidizi.............
ila kuna watu wanalipwa mshahara mkubwa kwa kuwa karani wa mhasibu.....
maana unasema km kuna sehem wanahitaji mhasibu tukuunganishe,
cha msingi moyo wa kufanya kazi na kuridhika nakutakia kila la heri ila ukumbuke kuwa kuna watu wamesoma miaka saba animal science na ikaitwa stashahada sio shahada.
samahani km nimekukwaza ila ndo umeanza kazi kwa nn usijenge uzoefu na ww ukAJIAJIRI AU KUAJIRI WENGINE?
NILIKUTANA NA KIJANA ANA CPA ILA HANA KAZI KAAMUA KUJIAJIRI KUSAIDIA WATU MAHESABU YAO KABLA YA KUPELEKA TRA,PIA NI MKULIMA MZURI.
u
 
Mkuu una kadigrii kako ka ngama halafu unachagua kazi.? Kuna wenzio na masterz zao za Mzumbe hawana hata internship..are you serious?
 
watu wanasaka kazi we tatizo huna amani mshukuru mungu kwa kazi hiyo muombe akupe amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…