Kuna flash amabazo ubavuni zina vitufe vya kulock na ku-unlock,so kama haiko locked ni virus wamebana folder zima,kama ndivyo na huna untivirus strong unaweza kufungua flash kwa kufuata Command Propmt au ukaifungulia kwenye OS ya UBUNTU ukatapisha data zako kisha ukaformat!