Wandugu habari zenu. Nina tatizo sijajua ni allergy au ni nini, siwezi kushia vitu vya baridi au kunywa, mfano maji, soda etc...Hata maji baridi kuogea nashindwa. Ikitokea huwa nakuwa nawashwa mwili mzima na natokwa na vipele. Nahitaji msaada sababu hii hali inaniumiza sana na sijazaliwa nayo.