Msaada nikipigiwa simu sipatikani

Msaada nikipigiwa simu sipatikani

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,491
Wakuu salama.

Naomba kuuliza tatizo ni nini na sim card ya Tigo watu wanalalamika toka asbh wanapiga sipatikan lakin simu ipo on kwanini sipatikani?

Sijawahi fanya setting zozote kwenye simu naombeni ujuzi wenu shida inaweza kuwa nini.
 
Wapigie tiGO huduma kwa mteja uwaulize shida ni nn?wao watakuwa na majibu mazuri zaidi
 
Wakuu salama. Naomba kuuliza tatizo ni nini na sim card ya tigo watu wanalalamika toka asbh wanapiga sipatikan lakin simu ipo on kwanini sipatikani?

Sijawai fanya setting zozote kwenye simu naombeni ujuzi wenu shida inaweza kua nini.
Bila shaka simu yako inaweza ikawa infinix. Kama ni yenyewe restore tu. Ila kabla ya yote toa line weka kwenye simu nyingine jaribu kuipigia upate uhakika zaidi.
 
Ukiona unapata tatizo kama ili ukiwa na sim card ya tigo
Tambua kwamba
Unanunua muda wa maongezi online kupitia tigo pesa nk
Wenyewe tigo wanataka kila baada ya 1 mmoja angalau uwe unaweka kifurushi kwa njia ya kufuta vile vikaratasi vya kuchuna hata ukinunua muda wa maongezi wa 500 sim inafunguka sijajua ni kwa nini wanalazimisha wateja tutumie style hii ya kusugua /kufuta vile vikaratasi angalau mara moja moja kwa mwezi 1
 
Ndomana huwa nanunua kwa tigopesa tu
 
Leo ndo nimeelewa
 
Back
Top Bottom