Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu
Jambo lolote huanza na dhamira, jitahidi utie Nia ktk moyo wako. Angalia watu wanaokuzunguka (marafiki, wafanyakazi /wafanyabiashara wenzio n.k) Kama ni watu wenye kushabikia hayo mambo waepuke. Sehemu unayoishi yaweza kuwa kichochea, mf unaishi sehemu ambayo unaonekana "Don" au superstar wa eneo hilo. Iga mapenzi ya kihindi, muda mwingi ukiwa "free" jitahidi kuwa na "mamaa" karibu. Usichoke kutafuta mbinu mpya za kulihuisha penzi lenu na kulifanya moto moto kila wakati.
Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu
We hunishindi mimi kwa uzinzi. Mpaka sasa siikumbiki idadi ya michepuko yangu. Wengine nakuta namba za simu kwenye simu yangu ila siwakumbuki mpaka nikutane nao ndo nawakumbika. Na kushauri tuendeleze kuwachapa tu
Unahitaji maombi....hakuna zaidi

Buj, tatizo lako sio uzinzi. Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufanya Maamuzi (personal decisions). Utakuja kuona kwamba kuna mambo yanakuandama:
1. Huna malengo maishani mwako ambayo ni dhahiri
2. Una tabia ya kupenda kupendwa
3. Unapenda kujulikana kama wewe ni mtu mwuungwana na hujawahi kutaka kujua maana ya uungwana!
4. Unapenda kuwaambia watu mambo mazuri kwa sababu unaamini ukiwaambia ukweli utawaumiza roho (mwongo)
5. Huu ni udhaifu wa kufanya maamuzi, na hili litakuandama kazini, kwa marafiki, kwa ndugu
6. Huna kitu unachoamini (something that identifies you and the one that you have decided that you are ready to die for!)
7. Unapendwa kuonewa huruma kwenye mambo mengi sana maana unaamini mambo mengi mabaya yanakutokea wakati wewe ni mtu mzuri
Nimeona nikuandikie haya kwa maana ni tabia zinazohusiana na situation yako. Kama hutajifunza kusema HAPANA NA NDIO katika maisha yako utateseka sana. Utaishi maisha ya kinafiki, ambayo huyapendi na mwisho wa siku utajikuta huwezi kuyaacha.